Azam TV Waomba Radhi Kwa Mahojiano yao na Mchezaji Fiston Mayele

Azam TV waomba radhi mahojiano yao na Mayele

 Azam TV waomba radhi mahojiano yao Waliofanya na Mchezaji wa Zamani wa Yanga Fiston Mayele ambae kwa sasa anakipiga Pyramids, katika mahojiano hayo Mayele alieleza vitu vingi vibaya ambayo alipitia akiwa Yanga na Baada ya Kuondoka Yanga

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad