Berkane Wapewa Ushindi wa Mezani na CAF Dhidi ya USMA


Shirikisho la soka Afrika (CAF) wameipa ushindi wa mabao 3-0 Klabu ya RS Berkane dhidi ya USMA Algiers ya Algeria, hii inakuja baada ya Klabu, Mamlaka za soka Algeria na serikali kuzuia jezi za Berkane zenye ramani ya Morocco ikiwa na eneo la Western Sahara na kupelekea mchezo huo usipigwe, CAF pia wameweka wazi USMA wanapaswa kusafiri kuelekea Morocco kucheza mchezo wa marudiano weekend hii na endapo hawatotokea watafungiwa.

[Source: ‪Joueurs Marocains‬ 🇲🇦]

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad