BREAKING: Amos Makalla Achaguliwa Kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

BREAKING: Amos Makalla Achaguliwa Kuwa Katibu Mwenezi wa CCM


Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo April 03, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine imemchagua Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, akichukua nafasi ya Ndug Paul Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad