Diamond Platnumz Amjibu Harmonize: Acha Nijivunie Nyie Ndio Wanangu wa Dhahabu


Diamond Platnumz Amjibu Harmonize: Acha Nijivunie Nyie Ndio Wanangu wa Dhahabu
Harmonize and Diamond Platnumz

Majibu ya @diamondplatnumz kwa @harmonize_tz baada ya kuonyesha kuchoshwa na kauli ya Diamond kusema kwamba alimemtoa Kimuziki kupitia lebo yake ya muziki, WCB Wasafi;

"Tajiri na mali zake, masikini na wanawe, asa mali sina mzee Konde, acha nijivunie nyie ndio wanangu wa dhahabu, nikitoa наро nahamia kwa wajukuu zangu sasa kina ibra, mac voice etc".

"Kwenye 15 years nataka tufanye event moja ya ukoo mzima and we celebrate kidogo Mungu alichotubariki".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad