Diamond Platnumz Amnyooshea Harmonize Mikono "Mataji yako yote Nakupa"


Diamond Platnumz na Harmonize
Diamond Platnumz na Harmonize


Diamondplatnumz ajiweka pembeni, baada ya majibu ya @harmonize_tz kudai kuwa hawakumbuka wanawe akishakusanya mali zake, na pia hana uwezo wa kumlipa millioni 600 ili kutumbuiza jukwaa moja

"Ooh kumbe una dhamira ya kubishana... mie mnyonge siwezi kubishana na wewe mtu mzito. Mataji yote nakupa, chukua ushindi."

Mzozo wao umeibuka kufuatia @diamondplatnumz kutangaza kuandaa show maalum ya miaka 15 kwenye muziki, huku akitamani uwepo wa wasanii ambao amewahi wasaini kupitia lebo ya WCB Wasafi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad