Hanstone Afunguka Sababu za Kundoka WCB

 

Hanstone Afunguka Sababu za Kundoka WCB

 

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @thehanstone amefunguka mwanzo mwisho sababu zilizopelekea kuondoka kwenye Lebo ya #WCB inayomilikiwa na @diamondplatnumz . Akiwa kwenye kipindi cha #XXL cha #CloudsFm, #Hastone amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya aondoke pale ni Amani na ndio kitu kikubwa alichokikosa.


"Mimi ni msanii mwenye kipaji na nikijana ambae najitafuta kwa upande ule tuliishi lakini kuna vitu havipo kwenye upendo haviwezi kukufanya uishi kwa amani, Nimeshaingia sehemu kama pale nimeshapewa mkataba siwezi kufanya vitu njee ya pale kwahiyo sikuishi vizuri"


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad