Hii Simba Leo Inaitwa ‘Makolo’ Sababu ya Mo, Jezi Imejaa Makolokolo




“Hii Simba leo inaitwa ‘makolo’ (jina la utani) ni kwa sababu ya Mo, jezi imejaa makolokolo (matangazo ya bidhaa za Mo) jina la makolo limetokana na bidhaa za Mo”

“Nimefanya tafiti ,kuna wachezaji wanadai signing fee (ada ya uhamisho/usajili) ,bonus zinalipwq on time kwa sababu wanaoahidi ni Try Again na Mangungu na wanaahidi za ndani ya uwezo wao”

“Yeye sasa hivi kakaa mbali ,ikitokea lawama ni Mangungu na Try Again lakini anayewafanya Simba wamefika hapa ni Mo” SportsXtra | @luambano77

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad