Hitilafu GRIDI ya Taifa, Maeneo Mengi Tanzania Hayana Umeme, Tanesco Wafunguka


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha Umeme ya Gridi ya Taifa kuanzia majira ya saa 8:22 Usiku hivyo kupelekea baadhi ya maeneo nchini kukosa huduma ya umeme.

Wataalam wa shirika hilo wanafanya jitihada kutatua changamoto hiyo ili kurudi kwa huduma ya Umeme maeneo inayopokosekana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad