Huyu Hapa Mwamuzi Simba Vs Al Ahly CAF Robo Fainali


Huyu Hapa Mwamuzi Simba Vs Al Ahly CAF Robo Fainali

MWAMUZI Alhadi Allaou Mahamat (37) kutoka Chad 🇹🇩 ndiye atakayeamua mechi ya mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Al Ahly itakayopigwa Ijumaa huko Cairo, Misri.

Majira ya saa 5 usiku Simba itashuka katika Uwanja wa Cairo kuamua hatima ya kwenda nusu fainali baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 katika Uwanja wa Mkapa wiki iliyopita. Mwamuzi huyo aliwahi kuchezesha mechi ya Yanga ilipopoteza mbele ya CR Belouzdad kwa mabao 3-0 ugenini katika hatua ya makundi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad