Jokate: Ofisi ya Katibu Mkuu UVCCM sio ya majungu, fitna

Jokate: Ofisi ya Katibu Mkuu UVCCM sio ya majungu, fitna


Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo amesema ofisi yake haitaruhusu watu wa majungu, fitina na kupigana 'shot'.


Jokate amesema hayo jana Aprili 20, 2024 baada ya kupokewa na vijana wa CCM Zanzibar, kisha kuzungumza nao katika viwanja vya Gymkhana.


"Kama kuna watu walikuwa wamezoea kupigana majungu na mashot vijana wenzetu, kupigana fitna na kurudisha a nyuma mwisho leo," amesema Jokate.


Jokate ametaka ofisi yake itumike kwa vijana kuleta mawazo chanya na fursa za kuleta maendeleo nchini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad