Juma Jux na Dimpoz ni Bifu Zito Kisa Mrembo Karen Bujulu

Juma Jux na Dimpoz ni Bifu Zito Kisa Mrembo Karen Bujulu


Taarifa kutoka kwenye kiwanda cha burudani zinaarifu kuwa, limeibuka bifu zito kati ya nyota wawili wa Bongo Fleva, Juma Jux na Ommy Dimpoz huku chanzo kikitajwa kuwa ni mrembo Karen Bujulu.


Akipiga story na Lily Ommy Podcast, Jux ameweka wazi kuwa wameachana na aliekuwa mpenzi wake Karen Bujulu raia wa Rwanda huku chanzo kikidaiwa kuwa ni baada ya Ommy Dimpoz kumsafirisha Kareen wenda nae Dubai na kukaa huko takribani mwezi mzima.


Jux aliingia kwenye mahusiano na Kareen baada ya kumwagana na Vanessa Mdee ambaye kwa sasa anaishi Marekani na mpenzi wake, Rotimi ambaye wamefanikiwa kuzaa watoto wawili

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad