Kocha Gamondi : Kesho Simba Waje Kucheza sio Kulipa Kisasi


Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga Miguel Garmondi kwenye press kuelekea Derby amewaambia Simba waingie uwanjani kucheza mpira na sio kulipa kisasi .

“Wanapaswa kuja kucheza ili washinde mechi na sio kulipa kisasi, kama wanakuja kulipa kisasi litakuwa kosa kubwa sana, timu inapaswa kucheza ili ishinde pekee na sio kisasi”

Huu ujumbe unatoa picha gani kwa Mnyama ?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad