Mamelodi Sundowns si Lolote, Yachapwa nje Ndani Yatolewa Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa




Safari ya Timu ya #MamelodiSundownsFC ya Afrika Kusini katika Ligi ya Mabingwa Afrika imeishia Nusu Fainali baada ya kufungwa na Espérance de Tunis ya Tunisia goli 1-0

Mamelodi ambayo iliitoa #Yanga kwa penati katika Robo Fainali, imefungwa jumla ya magoli 2-0 kwa kuwa katika mchezo wa kwanza ilipoteza pia

Hivyo, Fainali inatarajiwa kuzikutanisha #AlAhly ya Misri dhidi ya Espérance de Tunis mnamo Mei 18, 2024 kisha marudio ni Mei 25, 2024

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad