Ameandika Haya Mange Kimambi:
"I think umefika muda tuongelee hili maana sasa imekuwa janga la taifa.
Wanawake wa Kitanzania tumefika sehemu sasa sisi ndio tunadangiwa na wanaume badala ya sisi kuwadangia wao… ITS SAD.
Hata neno la Mungu linaagiza kuwa mwanaume atatafuta kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu, cha kushangaza sasa hivi wanawake tunabeba majukumu yooote mawili, kuzaa tuzae sisi, kutafuta tutafute sisi janaume lipo tu.
I miss them old school days za kuwaona mama zetu wanahudumiwa na baba zetu 100%. Seriously, mimi personally I think nimeshindwa kulea mwanaume sababu ya malezi niliyopata. Baba yangu alikuwa anahudumia wake zake mpaka mimi nikawa nasema nikija kuolewa lazma nipate mwanaume kama baba yangu wa kunihudimia. Yani kwa dingi yangu ndio nilipojulia kuwa natakiwa kuhudumiwa na mwanaume. Baba yangu GF tu utasikia kamfungulia duka, kamnunulia nyumba, sijui kampeleka Ulaya. Seriously, kuna mashangazi kibao wako huku Ughaibuni courtesy of my dad 🤣, sometimes wananifataga DM, Mange nakupenda baba yako alikuwa rafiki yangu sana ndo alienileta huku, sometimes watoto wa hao wabibi ndo wananiambia mama yangu kaniambia baba yako ndo alimletaga huku walikuwaga marafiki sana, najichekea tu nasema marafiki Eeeh ?🤣
Ladies, hakuna mwanaume anaekupenda atakuomba hela, hakuna mwanaume anaekupenda atakuacha wewe umuhudumie. Hakuna mwanaume aliekamilia ataridhika kuhudumiwa na mwanamke. Huyo hakupendi hata kidogo.
Ladies anytime ukijikuta unanunua mapenzi jua tu umefeli maisha.Yani jijue wewe ni zero brain.
Especially sisi wanawake wa Disapora ndio tuna tatizo kubwa la kuhonga wanaume. Na wanaume wameshatujua wanawake wa Tz ukimtajia ndoa tu chupi yote inalowa, atauza hata figo yake ili akuhonge ili amradie avae pete kidoleni. So siku hizi janaume linakujua siku 2 tu linakutajia ndoa fastaa ili uanze kumpa pesa in the name of mume wangu ðŸ˜
Ladies, ngoja niwaambie kitu, sio dhambi kuwa single, sio lazma uwe mke wa mtu kama hiyo title itaku cost bank account yako. It’s not worth it. Kwanza kuna raha gani kumuita mtu ‘mume wangu’ na wakati hakupi hata 100? Raha ya kusema ‘ mume wangu’ ni miamala isome kutoka kwa mume kwenda kwa mke." Mange Kimambi