Matokeo ya Yanga na Dodoma Jiji Leo 10 April 2024



Yanga imeifunga Dodoma Jiji Mabao Mwili Kwa Bila, Mabao yamefungwa na Augustine na Mzize

Baada ya ushindi wa Leo Rasmi Yanga inajiunga na timu zingine 7 kukamilisha timu 8 zilizofuzu Robo Fainali ya mashindano ya CRDB FC .

Namungo
Geita Gold
Tabora UTD
Coastal Union
Ihefu
Azam FC
Mashujaa
Yanga SC

FULLTIME | DODOMA 0-2 YANGA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad