Mchezaji Enock Inonga Kuondoka SIMBA, Thank You Yake Yaandaliwa

Mchezaji Enock Inonga Kuondoka SIMBA, Thank You Yake Yaandaliwa



Mchezaji Enock inonga, anatarajiwa kuondoka simba sc kama mchezaji huru mwishoni mwa msimu,''' atajiunga na fcrabat . 🤔🇨🇩

heshima kubwa kati ya klabu na mchezaji… lakini anaondoka mwezi juni, uamuzi umefanywa kwa henock inonga.

❗️ alisema ntibazonkiza pia anaweza kuondoka kama mchezaji huru lakini uamuzi wa mwisho bado haujafanywa, kwa kuzingatia mustakabali wa benchikha'''

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad