PAUL Makonda atua Msibani kwa Gardner Baada ya Kuhojiwa Maadili

 

PAUL Makonda atua Msibani kwa Gardner Baada ya Kuhojiwa Maadili

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amefika kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Aprili 22 2024 kwa ajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Media Gardner Habash.


Mapema asubuhi ya leo Makonda alikuwa Dodoma alipokuwa ameitwa na Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi ambapo bado haijafahamika amehojiwa kuhusu nini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad