Polisi yaanza uchunguzi kifo cha kocha Simba


 

Polisi yaanza uchunguzi kifo cha kocha Simba

Polisi nchini Rwanda wameanza uchunguzi wa kifo cha ghafla kocha wa viungo wa klabu ya APR Adel Zrane raia wa Tunisia.

Aliyewahi kuwa Kocha wa Viungo wa Kikosi cha Simba Sc, Adel Zrane kutoka Tunisia 🇹🇳 amekutwa akiwa amefariki ndani ya Apartment aliyokuwa akiishi huko nchini Rwanda ambako alikuwa akihidumu na kikosi cha APR.

Aidha mchezaji wa zamani wa Simba ambaye alinolewa na kocha huyo, Taddeo Lwanga amethibitisha taarifa hizo.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad