Web

Real Madrid Wanahitaji Alama Nane tu Kuwa Mabingwa, Wainyuka Barcelona

Real Madrid Wanahitaji Alama Nane tu Kuwa Mabingwa, Wainyuka Barcelona


Real Madrid wanahitaji alama nane tu kuwa Mabingwa kati ya 18 wanazowania katika michezo 6 iliyobaki.

Bao la dakika za lala salama la Jude Bellingham limeipatia Real Madrid pointi zote tatu dhidi ya Barcelona katika dimba la Santiago Bernabéu kwenye El Clasico.


FT: Real Madrid 3-2 Barcelona

âš½ Vini Jr 18'

âš½ Lucas 73'

âš½ Bellingham 90+1'

âš½ Christensen 6'

âš½ Lopez 69'.


Real imesogea mpaka alama 11 mbele ya Barcelona kwenye msimamo wa Laliga ikiwa kileleni alama 81 baada ya mechi 32. Barca inasalia nafasi ya pili alama 70 baada ya mechi 32.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad