Simba Wamepoteza Sifa ya Kuwa Timu kubwa - Hans Rafael

Simba Wamepoteza Sifa ya Kuwa Timu kubwa - Hans Rafael


Mchambuzi wa soka la Bongo Hans Rafael amesema kwa mwenendo wa Simba SC, ni dhahiri sasa wamepoteza sifa ya kuwa timu kubwa.


Hans amesema timu kubwa huwa zina sifa ya kuchukua makombe hivyo Simba anapoteza sifa sababu amekosa vikombe kwa misimu mitatu mfulululizo.


"Timu kubwa zinataka makombe, ukiona hauyachukui basi wewe sio timu kubwa. Simba wanazidi kuporomoka, msimu huu wameishia robo fainali Ligi ya Mabingwa maana yake wamefeli, Mapinduzi wamefeli fainali, CRDB Confederation Cup ndo hivyo wamefeli," alisema Hans.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad