Tanzani Hii Hakuna Namba 10 Kama Aziz Ki



Tanzani hii hakuna namba 10 kama Aziz Ki, wala hakuna namba 10 mwenye uwezo wa kupiga pasi za mwisho za mauwaji kama Aziz.

Aziz anakupa kwenye mechi kubwa na ndogo na hiyo ndo sifa ya mchezaji mkubwa.

Aziz hana uwanja wa ugenini wala wa Nyumbani.

Jana kipindi cha pili aliamuwa kuivaa mechi na kuwageuza viungo wa Mamelodi kama watoto…..muda wote aliwekewa ulinzi wa watu wawili ila hakuna aliyefua dafu.

Ilikuwa ni one pasi kisha ana-turn na kutembea kwenye zone 14.

Baada ya mchezo kocha wa Mamelodi hakuficha mapenzi yake kwa Aziz.

Top Top class player🔥🔥

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad