Tanzania Yashika Nafasi ya Tatu MATAIFA yenye Wanawake Warembo Afrika



Kwa mujibu wa Jarida maarufu barani Afrika la African Fact Zone limetoa orodha ya mataifa 15 barani Afrika yenye wanawake warembo zaidi.

Katika Mataifa hayo Ethiopia ipo nafasi ya kwanza huku nafasi ya pili ni Nigeria na Nafasi ya tatu ni Tanzania.

Baashi ya vigezo wanavyotumia ambavyo bimekuwa vikiandikwa na majarida mbalimbali ni pamoja na kuendelea kuiwakilisha asili ya Muafrika kwa ngozi zao za asili bila kutumia vipodozi vya kubadilisha ngozi zao.

Lakini pia kigezo cha pili ni Muonekano (shape) inayovutia pasina kubadili muonekano kufanya Surgery.

Mara nyingi vigezo hivi huchukua kupitia Mastaa wa taifa husika, ndio kitambulisho cha taifa husika.

Mataifa mengi kwa sasa barani Afrika na duniani kote yamekuwa yakionyesha namna wanawake wanavyofanya Surgery ya kubadili mionekano yao, kubadili Shape zao.

Tanzania imeshika nafasi ya tatu kwa vigezo vingi ikiwemo hivyo lakini pia wanawake wa Tanzania wakionekana kutokubali mionekano yao sana tofauti na mataifa mengine.

Wataalamu wa Mambo hii kweli au tumepigwa??

Orodha kalimi hii hapa chini.

1. Ethiopia
2. Nigeria
3. Tanzania
4. Kenya
5. South Africa
6. Ghana
7. Zimbabwe
8. Egypt
9. Congo
10. Cote d’Ivoire
11. Rwanda
12. Somalia
13. Morocco
14. Namibia
15. Cameroon

Kwani wanawake wenyewe wa Tanzanja wanasemaje?? Wanastahili kukaa nafasi ya nne Afrika??

Imeandikwa na @el_mando_tz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad