TFF Wamepuuza Sakata la Singida Menu




Beki wa Klabu ya Kaizer Chiefs Luke Fleurs (24) amepigwa risasi na kufariki usiku wa kuamkia leo katika tukio la Unyang’anyi ambapo alivamiwa na majambazi na akanyang”anywa Gari yake katika kitongoji cha Florida huko Honeydew Johannesburg nchini Afrika Kusini.



Fleurs alisajiliwa na Kaizer Chiefs mwezi Oktoba 2023 na nia yake kubwa ilikuwa ni kushinda Taji la PLS akiwa Kaizer ndoto ambayo haijafanikiwa kufika hadi umauti unamkuta.



Mwaka 2020 Luke Fleurs alitajwa na IFFHS kama moja ya vipaji vitakavyokuja kufanya makubwa mbeleni.

 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad