TMA: Mvua Zitaendelea Mpaka Mwisho wa Aprili

TMA: Mvua Zitaendelea Mpaka Mwisho wa Aprili


Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) imesema mvua za vuli zitaendelea hadi mwisho wa mwezi Aprili na kutoa tahadhari ya siku tatu ya uwepo wa mvua kubwa katika baadhi ya mikoa ikiwemo Dar es salaam na Tanga.


Kwa siku za karibuni mvua imekuwa ikisababisha madhara na usumbufu mkubwa kwa wananchi.


Je, kwa tahadhari hii iliyotolewa na TMA unajiandaaje na siku tatu zijazo?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad