Ahemed Ally Atoboa Siri "Usajili wote wa Msimu Ujao Anafanya Mo Dewji "


Ahemed Ally Atoboa Siri "Usajili wote wa Msimu Ujao Anafanya Mo Dewji "


MMESIKIA LAKINI ? Kila kitasa mtakachokiona msimu ujao mjue ni Mo Dewji amehusika 100%

“Fedha yote ya usajili msimu huu anatoa Mohammed Dewji na mzigo ambao umetengwa kwaajili ya usajili ni kufuru ya kufa mtu, Dewji tunae na tunatamba naye na usajili huu anasimamia yeye asilimia 100,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad