Ahmed Ally : Mkiona Thanks Kwa Mchezaji BORA kutoka Simba Msishtuke"

Ahmed Ally : Mkiona Thanks Kwa Mchezaji BORA kutoka Simba Msishtuke"

Amefunga Haya Ahmedy Ally:

Wanasimba wawe ‘Stand by’ kwasababu kuna watu ambao tutaachana nao lengo ni kuleta wengine. Kama kuna mchezaji unamuona bora na anaagwa basi usishtuke ujue anakuja mwingine bora zaidi, Tunachokihitaji ni kuboresha timu yetu na mchakato umeshaanza.”

Ahmed Ally - Mkuu wa kitengo cha Habari ndani ya klabu ya Simba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad