Ayoub Lakred Huyoo Kuikimbia Simba...



Naambiwa hapa Kuna kila dalili ya Simba kumpoteza kipa wao namba moja wa sasa, Mmorocco Ayoub Lakred. Uongozi wa Simba bado hauna uhakika wa kusalia kwa kipa wao namba moja Ayoub Lakred ambaye inaelezwa huenda akaachana na timu hiyo baada ya kumaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad