Aziz K Asema 'THANK YOU' Kwa Wananchi



Aziz K Asema  'THANK YOU' Kwa Wananchi

Ameandika Haya Aziz K wa Yanga:

“Mechi ya mwisho ya msimu huu… kwanza niseme asante kwa MUNGU mwingi wa rehema kwa neema zake na napenda kuwashukuru familia yangu, wachezaji wenzangu, wakufunzi, wafanyakazi na uongozi wa Yanga lakini kikubwa zaidi, Asante kwa mashabiki wa Yanga kwa sapoti katika kipindi chote cha ligi nakiri kuwa hakuna kilichokuwa rahisi ila mlikuwepo kunisukuma na kutakia mafanikio, asante kwa sapoti na upendo wenu kwangu natumai msimu ujao utakuwa wa ajabu kwa sisi inshallah,” ameandika Aziz Ki


“last match of the season I would first like to say thank you to GOD Almighty for his grace and I would love to Thank my family, my teamates, coaching staff, staff and the management of yanga but most importantly, Thank You to the fans of wananchi for the support throughout the league I admit that nothing was easy but you were there to push me to surpass and always give the best of me once again thank you for your support and love towards me I hope that next season will be another marvel for us inshallah”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad