Aziz K Katika Performance Bora Sana Msimu Huu...


Kwenye kikosi cha Yanga msimu huu wamekuwa na wachezaji wengi wenye ubora mkubwa sana , lakini mwamba kutoka Bukina Fasa 🇧🇫 Stephane Aziz Ki amekuwa na ubora mkubwa sana .

Kwenye numbers amekuwa ni mtu hatari sana , amehusika kwenye magoli 20+ zaidi ya mchezaji yeyote msimu huu : tena ni kwa kiungo mshambuliaji na ukiangalia msimu uliopita performance yake haikuwa nzuri sana lakini amebounce na kurejea kwenye ubora wake ✅

Vita ya MVP ni kati yake na Feisal “No Doubt” ni hawa miamba wawili ambao wapo kwenye ubora mkubwa sana 👏

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad