Azizi KI: Feisal ni Rafiki Yangu, Nafurahi Akifunga

Azizi KI: Feisal ni Rafiki Yangu, Nafurahi Akifunga

Wakati akifunga mabao mawili dhidi ya Dodoma Jiji na kuikamata chati ya ufungaji kwa kufikisha mabao 17.


Mashabiki na wapenda kandanda walitaka kusikia ni namna gani Kiungo Stepeh Aziz KI anajisikia baada ya mabao hayo huku akimuacha Feisal Salum wa Azam alie na mabao 16.

Akizungumza mara baada ya mchezo Aziz KI anasema;

Ninafurahi kuona Feisal anafunga, nawaona watu wakimuongelea vibaya na vizuri Feitoto, yeye kuendelea kufanya vizuri hata mimi ninafurahia kiwango chake”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad