BREAKING: Pambano la Mwakinyo na Mghana lafutwa

 

BREAKING: Pambano la Mwakinyo na Mghana lafutwa

Kaminsheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC limesitisha pambano la ngumi baina ya bondia mtanzania Hassani Mwakinyo dhidi Pactick Allotey kutoka Ghana kutokana na promota kushindwa kukidhi vigezo.


Kwa mujibu wa TPBRC, moja ikiwa ni malipo kwa mabondia hao na pili ni ukumbi ambao utachezwa pambano hilo kutofikia viwango.


Pambano hilo la kushindani ubingwa wa WBO Africa Middleweight, lilipangwa kufanyika katika Masaki, Dar es Salaam, Ijumaa ya Mei 1, 2024 kuanzia saa 1:00 jioni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad