Diamond Platnumz Afunguka "Walituonea Sana ila Sasa Tumewashika Pabaya"



Nguli wa muziki wa bongofleva @diamondplatnumz baada ya wimbo wake mpya #Komasava kufanya vizuri kimataifa kwenye nchi mbalimbali duniani ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram:-

"I love you more Tanzania,walituonea sana hawa nikawa nawasoma tu,sasahivi wameingia kwenye mfumo tumewashika pabaya na nitahakikisha tunawapelekea moto mpaka wakiiona hii bendera popote wawe na heshima" @diamondplatnumz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad