Diva Afunguka "Haki ya Msingi ya kugawana Mali na Abdul iko Palepale Nahitaj Haki Zangu.



Ameandika Haya Diva:

Hi guys naomba niongee Kitu ..
Mnani tag kila siku issue za Mganga sijui Abdul Sina Ndoa na Abdul .. Nili move on kitambo ata ktk msiba alinifata kuja kunipa Pole as matter fact usiku kabla Ya Msiba nilimtumia Waraka wa talaka Yangu alipoona msiba alikuja na kujifanya benet na Mimi for camera ili ahojiwe atrend.
Ni mwanaume Muongo sana na Mshirikina sana lakini zaid Ni Mwanaume anaetumia watu ili aishi nilishasema hayo yote hamna nilidanganya... nimefurahia toka moyon kutoka ktk maisha yake sababu nilijitafuta na kujipata na mkaniona, sina ndoa nae na taratibu zangu talaka nilishawasilisha Mahakaman na Mwanasheria alimchek na hakuonyesha ushirikiano sababu hataki kutoa talaka ila i swear ataitoa sababu Simtaki na mimi ndio niliamua hivyo si zaid , sipendi mtu anaenitumia for fame ili mambo yake yaende apate wateja.
yeye alioa .. why is it so hard kuniacha niolewe mimi ananingangania wa nn ?!
anaona kabisa simtaki na naishi maisha yangu kuandika talaka ina m cost nini.
Hamjamuona Msiban alikuwa ana attention ya camera ili atrend while behind the scene ana uchafu mwingi sana ..
sitaki kuja kufa na magonjwa na laana zake yan matatizo toka niwe hayaishi nuksi , uchawi anajifanya shekhe ila the moment nimejieka Pemben nae mambo yangu yananiendea sana yarab wenyewe mnaona

legally bado sina talaka kidini bado sina talaka na nahitaji talaka hio kabisa ili niweze funga pingu za maisha na mtu mwengine ... sitaki na sihitaji ndoa hii kabisa hii ndoa sio nzur for my brand aisee, I have Peace rn!.

Sipendi Mnihusishe nae Plus ana vitu vyangu ambavyo I need Personaly ambavyo ni hela za Biashara zangu nyingiiii mnooo alitumiaaa , alichukua na vifaa vingi vyangu vya ofisi na haki ya msingi wa kugawana Mali iko Palepale nahitaj haki zangu.
i want everything fully returned legally!.
Sihitaj chochote zaid ya vitu vyangu kulipwa.
I wish him all the best in life but kuna haki zangu zinahusu hela ndio hivyo nahitaj financially na ntapambana nilipwe.
Siishi nae naishi mwenyewe Palm Village kwa muda sana. anashindwa kuweka vitu wazi ili aendelee enjoy the fame but sihitaj chochote nayeye kabisa I am very happy where I am right now .. nina amani haswa no drama nina furaha

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad