Fahamu Kuhusu Waya (Mkongo) Unaopita Chini ya Bahati Kwa Ajili ya Kuleta Mawasiliano ya Internet




Kama ulikua hujui kuwa CHINI YA BAHARI KUNA CABLES wacha nikufahamishe:-
Unacho kiona hapo chini sio kiumbe hai hicho kinaishi baharini hapana,
Hiyo ni CABLE maalumu iliowekwa na binaadamu,
CABLE hiyo kitaalamu inaitwa MARINE CABLE,
CABLE hiyo ipo chini kabisa ya bahari kama unavyo ona hapo chini,
Na huvuka kutoka bara moja mpaka lingine,
CABLE hiyo kazi yake ni kusambaza huduma ya internet duniani,
Na endapo CABLE hiyo itapata hitilafu kama vile kutobolewa na samaki,
Basi sehemu husika ambayo CABLE hiyo inakwenda lazima ipate shida kwenye internet,
Na hata tatizo lililotokea jana la mtandao,
Ambapo watu wengi barani AFRIKA wameshindwa kutumia mtandao,
Shida imetokea kwenye CABLE hiyo hapo,
Ambapo kwasasa tatizo linashughulikiwa,
CABLE hii inamilikiwa na kampuni kutoka MAREKANI pamoja na URUSI,
CABLE hii inapo ibuka nchi kavu hufungwa kitu maalumu kiitwacho ISP,
ISP kirefu chake ni INTERNET SERVICE PROVIDER,
Hiki ndio kifaa kinacho sambaza internet,
Kutoka kwenye CABLE kwenda kwenye minara ya simu,
Kuja kwenye kifaa chako cha mawasiliano,
Kwa maana nyengine ni kwamba mitandao yote mawasiliano,
Hupata huduma ya internet sehemu moja,

Ambapo mitandao hiyo ya mawasiliano huuziwa huduma hiyo,
Halafu na wao huwauzia wateja wanaotumia kifaa cha mawasiliano kutokana na laini husika,
Ndio maana jana kila laini ya simu ilikua na shida ya kupata mtandao,
Kwasababu chanzo kikuu ni kimoja tu duniani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad