Fei Toto Ameula, Inasemekana Kapata Offer ya Bilioni Tatu Uturuki


Fei Toto Ameula, Inasemekana Kapata Offer ya Bilioni Tatu Uturuki
Usajili fei toto


Klabu ya @azamfcofficial imepokea ofa ya kuvutia ya bilioni 3.5 kutoka kwa klabu moja ya Uturuki, ambayo ina nia ya kumsajili mchezaji wao mahiri, Feisal Salum, mwenye umri wa miaka 26.

Fei Toto amekuwa akionesha kiwango cha juu msimu huu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania, akifunga magoli 16 na kusaidia katika magoli 7. Hii inamfanya awe katika mbio za kusisimua za ufungaji bora, akiwa na tofauti ya bao moja tu nyuma ya Aziz Ki, kinara wa ufungaji mwenye magoli 17.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad