Fiston Mayele Afikisha Magoli 10 Pyramids, Kwanza Kuuwasha Moto



Fiston Mayele amekuwa na msimu mzuri akiwa kwenye klabu yake mpya ya Pyramids ya nchini Misri ambayo amejiunga nayo msimu huu [ 2023/24]

Kwa msimu huu Mayele amepata nafasi ya kucheza mechi 19 , mechi 16 kati ya hizo alianza nq 3 alianzie benchi hqpa tu utaona namna ameweza ku-adopt mazingira ya Ligi kuu Misri ambayo wengi huwa inawashinda.

Hadi sasa tayari amehusika kwenye magoli 10 kwenye Ligi ,amefunga magoli 8 na kutoa assist 2 ndani ya dakika 1411

Upande wa CAFCL amefunga magoli mawili 2 na kutoa assist moja ndani ya mechi 7

Mchango wake msimu huu
Mechi _____26
Magoli_____10
Assist_____3

Top striker, Fistooooo Pele

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad