Hatima ya SKUDU Makudubela Yanga "Bado Natamani Kubaki Yanga"

Hatima ya SKUDU Makudubela Yanga "Bado Natamani Kubaki Yanga"



“Kwa sasa bado nina mkataba na Yanga. Ninapaswa kumaliza mkataba wangu na pia kuangalia kama Uongozi utaanza kuzungumza na mimi”

“Nipo tayari kuendelea na timu (Yanga SC), Kwa sababu ni nafasi nyingine kwangu kuwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Africa”

“Ni nafasi ya kukua. Msimu huu tumefanya vizuri na huenda msimu ujao tutafanya vizuri zaidi”

“Kama mchezaji, unataka kitu kinachokusaidia kukua. Pia, unataka kitu ambacho kinafanya Familia yako iwe na furaha”

“Nina furaha hapa, tumefanikiwa kushinda Ubingwa (Ligi Kuu NBC) na tupo kwenye nusu fainali (Kombe la Shirikisho la TFF).”

“Kuna baadhi ya klabu za PSL (Ligi kuu Afrika Kusini) zimewasiliana na wasimamizi wangu lakini kuna mengi ya kuyazingatia. Kama kuna ofa nzuri zaidi, nitaichukua lakini kuna mengi ya mimi kuyazingatia”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad