Helkopta iliyombeba Rais wa IRAN Yapotea, Zoezi la Kumtafuta Laendekea



Watu watatu walio kwenye timu inayoendesha zoezi la kuitafuta helikopta iliyombeba Rais wa Iran, wameripotiwa kupotea.

Hii ni kutokana na hali mbaya ya hewa inayoendelea kukwamisha juhudi za kutafuta helikopta ilipoangukia.

Raisi wa Iran Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amirabdollahian walikuwa kwenye helikopta iliyopata ajali katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki mwa Iran.

Msafara wa Rais huyo ulikuwa na helikopta tatu ambapo mbili zilizobeba mawaziri wawili zilifanikiwa kurudi salama.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad