Hii Siri Nitakufa Nayo, Kamwe Siwezi Kumwambia Mume Wangu

Hii Siri Nitakufa Nayo, Kamwe Siwezi Kumwambia Mume Wangu


Naitwa Lulu, mkazi wa Kibera nchini Kenya, kuna kipindi nilikuwa na ugomvi na Mume wangu. Nyumbani kulikuwa hakukaliki yaani kila siku napigwa hadi natokwa na majeraha. Majirani walijaribu kutuluhisha ila wakashindwa kabisa. 

Basi nilikuwa na rafiki yangu wa kiume mwenye asili ya Uarabu. Kila nikipigwa nilikuwa naenda kwake kulia na alikuwa akinibembeleza na kunifanya nijisikie vizuri kwa wakati huo licha ya changamoto nilizokuwa napitia. 

Hali ile ilipelekea kuingia kwenye mahusiano naye maana alikuwa ananipa amani ya moyo kwa kipindi kile. Unajua mwanamke akipata mwanaume wa kumfariji katika kipindi kigumu ni rahisi sana kumpenda. 

Katika uhusiano wetu huo wa siri, kwa bahati mbaya nilishika mimba yake, Mume wangu hakujua. Kipindi cha mimba niliomba kwenda kujifungulia nyumbani kwetu maana nitapata mtu wa kunihudumia. 

Siku niliyojifungua kila mtu alishangaa maana mtoto alitoka mweupe sana sio kawaida. Manesi wenyewe wakawa wananiuliza Baba yake ni mzungu?, sikuwa na jibu la kuwajibu kwa muda ule maana kili yangu ilikuwa inawaza narudi vipi kwa mume wangu.

Ilibidi nimwambie Mama yangu ukweli wa jambo hilo maana hata yeye alikuwa na wasiwasi. Baada ya kujua ukweli, Mama aliahidi kunilinda kwa lolote ambalo litakuja kutokea hapo mbeleni. 

Kwa kipindi kile niliishi kwa mama mpaka pale mume wangu alipoanza kupiga kelele za kutaka nirudi nyumbani akamuone mtoto wake. Kabla sijaondoka, Mama alinichukua mimi na mtoto na kutupeleka kwa Kiwanga Doctors na kuweza kufanyiwa matambiko ya kukubalika. 

Baada ya matambiko nilipewa pete ya maajabu ambayo niliambia niivae wakati nikienda kwa Mume wangu na mara zote niwe nayo katika kidole changu. 

Mwisho wa siku nilirudi kwa Mume wangu nikiwa na mwanangu, kusema kweli Mume wangu alifurahi sana kumuona mtoto yule, wala hakuonyesha wasiwasi wowote ule, hivyo hivyo na kwa ndugu zake. 

Hata hivyo, kuna siku aliniuliza mbona huyu mtoto ni mweupe sana?. Nilitabasamu kuficha uoga uliopo moyoni mwangu, kisha nikajibu amechukua rangi ya Babu yake maana kwetu sisi tuna asili ya rangi hii. 

Mume wangu alicheka pia kwa utani akasema itabidi twende tukapime DNA. Nilijawa na wasiwasi sana, ila hakutilia maanani kauli ile tena, inawezekana kweli alikuwa anatania.

Baada ya mtoto kutimiza miaka miaka miwili, nilimpeleka kwa Mama yangu huko Mombasa. Mpaka leo yupo Mombasa kwa Bibi yake, huwa natumiwa tu picha zake na ninashukuru kila anavyozidi kukua anapoteza ile nuru ya uweupe sana aliyokuwa nayo kipindi anazaliwa.

Sasa hivi nina mtoto mwingine na mume wangu, huyu amefanana kila kitu kwa Baba yake. Yule Mwarabu nimemwambia nimeolewa hivyo ameacha kabisa kuwasiliana na mimi, kama huduma kuhusu huduma ya mtoto anawasiliana na Mama yangu. 

Ingawa mume wangu anawahudumia watoto wote wawili, bado roho yangu inaniuma sana, nawaza siku akijua itakuwaje, hakuna mtu mwingine anayejua hili zaidi ya Mama yangu mzazi. Sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, nafikiri hii siri nitakufa nayo, kamwe siwezi kumwambia mume wangu. 

Kwa simulizi zaidi tembelea tovuti yake www.kiwangadoctors.com au mpigie Kiwanga Doctors kwa namba +254 769 404965 ili kupata huduma ya changamoto yoyote unayokutatiza maishani. 



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad