Kocha Nabi Kumtoa Aziz K Yanga Kumpelekea FAR Rabat, Watumia Offer Nene



TRANSFER NEWS UPDATES :

Klabu ya AS FAR ya Morocco 🇲🇦 imetuma ofa kwa Kiungo mshambuliaji wa Yanga sc Stephane Aziz KI , Ofa hiyo ikiwa ni mara 3 zaidi ya ofa ambayo timu yake imempa na mkataba wake umebaki mwezi mmoja tu

Kocha huyo wa zamani wa Yanga Nasreddine Nabi na kwasasa ndiye kocha aliyependekeza mchezaji huyo asajiliwe kwenye timu hiyo.

Taarifa kutoka : africa_transfermarket

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad