Man United Itamfukuza Kocha Ten Hag Baada ya Fainali ya FA Cup

Man United Itamfukuza Kocha Ten Hag Baada ya Fainali ya FA Cup

ENGLAND: Tetesi kutoka katika vyanzo vya ndani ya Klabu ya #ManchesterUnited ni kuwa Kocha Erik ten Hag anatarajiwa kufukuzwa kazi mara baada ya mchezo dhidi ya #ManchesterCity katika Fainali ya Kombe la FA itakayopigwa Jumamosi hii Mei 25, 2024

Taarifa kutoka Gazeti la The Guardian zinaeleza Mmoja wa Wamiliki wa Klabu hiyo, Sir Jim Ratcliffe amechukua uamuzi huo bila kujali matokeo ya Fainali, hiyo ni kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo msimu wa 2023/24

Inadaiwa Makocha wanaopewa nafasi ya kupewa mikoba ni Thomas Tuchel, Mauricio Pochettino, Kieran McKenna, Thomas Frank na Graham Potter

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad