Mashabiki Waipa Ushauri SIMBA "Tunataka Wachezaji Wenye Bei Kubwa Kama Aziz K"

 

Mashabiki Waipa Ushauri SIMBA "Tunataka Wachezaji Wenye Bei Kubwa Kama Aziz K"

Licha ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania, Klabu ya Simba imemaliza katika nafasi ya 3 msimamo wa Ligi Kuu Bara Ligi ambayo imemalizika jana Mei 28.


Mashabiki wa Simba wameoneshwa kusikitishwa na nafasi hiyo lakini wametoa ushauri kwa uongozi wa Klabu wakitaka wachezaji Bora hata kama watakuwa na bei kubwa.


Akizungumza Shabiki anasema,


"Tunataka Wachezaji wa bei kubwa ambao wanaweza kupambania timu kama vile Aziz Ki”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad