Nay wa Mitego Aiponda Album ya Harmonize "Hata Marehemu Komba Hakufikia Level ya Kuomba Album Nzima"


Nay wa Mitego Aiponda Album ya Harmonize


Star wa muziki kutoka Tanzania, @naytrueboytz amefunguka kuhusiana na Album ya Harmonize Aliyoachia Jana tareh 25/05/2024

Kwa maelezo ya Nay amesema kuwa kuhusiana na Album aliyoachia Harmonize ya MZIKI NA SAMIA nyimbo zote kwa upande wake ni kelele kama za Msechu ...

" kwaiyo mmakonde kaamua kuifanya kazi ya msechu 🤣🤣 Sijapenda 🤣Ata marehemu komba hajawahi fikia level ya Album nzima 🤣 kelele kibao nyimbo za kumsifu mwenyekiti ndo maana baadhi ya wasanii wakaona mwana kapiga hela wao waende kama waalikwa tu 🤣 Hawajatokea🤣 .." ameandika Nay wamitego

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad