Okwi awashangaa washambuliaji wa Bongo kushindwa kufunga

 

Okwi awashangaa washambuliaji wa Bongo kushindwa kufunga

Nyota wa zamani wa Simba SC, Emmanuel Okwi, ameonesha kushangazwa na namna mambo yalivyo kwenye mbio za kuwania kiatu cha ufungaji bora kwenye NBC Premier League, ambapo wanaohusika ni viungo pekee badala ya washambuliaji.


“Inashangaza kwamba ni viungo ndio wanaoongoza vita ya kiatu cha dhahabu” ameandika nyota huyo kwenye post ya @azamtvsports inayohusu takwimu za wachezaji Stephane Aziz Ki wa Yanga na Feisal Salum wa Azam FC.


Wachezaji hao ndio vinara wa magoli kwenye NBC Premier League ambapo mpaka sasa wamefunga magoli 15 kila mmoja.


Unafikiri changamoto ni nini kwa washambualiaji?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad