RASMI: Simba watuma maombi ya kumtaka Mayele

 

RASMI: Simba watuma maombi ya kumtaka Mayele

Uongozi wa Simba rasmi umeingia katika rada za kumtaka kumsajili mshambuliaji wa Pyramids FC ya nchini Misri, Fiston Mayele.


Simba imepanga kukifanyia maboresho makubwa kikosi chao, ili kifanye vema katika msimu ujao.


Mayele aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, ni kati ya wachezaji waliokuwepo katika mipango ya Simba katika msimu ujao.


"Tunaangalia uwezekano wa kumpata Fiston Mayele kwa mkopo kutoka Pyramids FC, tumeshatuma maombi Egypt."


Salim Abdallha 'Try Again' - Mwenyekiti wa Bodi ya Simba.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad