Simba Wahaha Huku na Kumfanya Kipa Ayoub Lakred Asiondoke...


Simba Wahaha Huku na Kumfanya Kipa Ayoub Lakred Asiondoke...
Kipa Ayoub Lakred


Katika kuhakikisha Simba inakuwa na kikosi imara kwenye msimu ujao, uongozi wa Simba umeanza mchakato wa kuhakikisha inambakisha kipa wake chaguo la kwanza, Ayoub Lakred, kwa kumpa mkataba mpya wa miaka miwili ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya Msimbazi.

Mbali na Lakred, taarifa kutoka Simba zinasema mabosi wa timu hiyo pia wameweka wazi hakuna ofa rasmi kutoka katika timu yoyote kwa ajili ya kuhitaji huduma ya beki wao Mkongomani, Henock Inonga.

Lakred, nyota raia wa Morocco, alisaini mkataba wa mwaka mmoja ambao unafikia tamati mwisho wa msimu huu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad