Simba Yaichapa Dodoma Jiji, Fredy Azidi Kutakata

Simba Yaichapa Dodoma Jiji, Fredy Azidi Kutakata


Bao pekee la mshambuliaji Fred Koublan limewawezesha wekundu wa Msimbazi Simba SC kuibuka na ushindi muhimu ugenini wakiwazaba Dodoma Jiji FC 1-0


Ushindi huo umeifanya Simba SC kufikisha alama 60 sawa na Azam FC baada ya michezo 27 kwenye ligi hiyo wote wakiwania kumaliza nafasi ya pili kwenye msimamo ili kupata tiketi ya kuwakilisha nchi kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika


Timu hizo zinatofautiana wastani wa magoli ya kufunga na kufungwa Azam akiwa na faida ya mabao 6 zaidi ya Simba SC kwenye wastani huo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad