TETESI: Wachezaji Stars wagoma kuripoti Timu ya Taifa

 

TETESI: Wachezaji Stars wagoma kuripoti Timu ya Taifa

Taarifa ambazo hazijathibitika zinasema, Wachezaji wa Taifa stars, Haji Mnoga na Simon Msuva wamekataa kujiunga na kambi ya timu ya Taifa huko Indonesia kwa ajili ya maandalizi ya mechi dhidi ya Zambia.


Msuva amesema amecheza sana hivyo amechoka anahitaji kupumzika,huku Haji mnoga akisema kwa sasa yupo likizo na Familia yake nchini Misri anakula kuku.


Ikumbukwe siku moja kabla ya timu kusafiri Kibu Denis alikataa akidai anaenda likizo marekani kupumzika.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad