Timu za Mamelodi na KAIZER Chief Wanamtaka Mchezaji Aziz K


Timu za Mamelodi na KAIZER Chief Wanamtaka Mchezaji Aziz K

Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Aziz Ki yupo kwenye mazungumzo na Kaizer Chief pamoja Mamelodi Sundowans zote za Afrika Kusini.

Wawakilishi wa Kaizer Chief wakishakuja Tanzania na walifanya kikao kilichokuwa na wawakilishi wa Aziz Ki, Agent wake Zambro Traore pamoja na mama Ki.

Yapo pia mazungumzo ya moja kwa moja kutoka Rais wa Mamelodi Sundowans Tlhopie Motsepe ambae anamuhitaji Aziz Ki kwenye timu yake.

Aziz Ki anamaliza mkataba wake ndani ya Yanga SC, ila bado wanaendelea kumshawishi asaini mkataba mwingine na moja ya ushawishi wanaoutumia Yanga ni kuwa akiongeza mkataba mpya na ikatokea timu inamuhitaji wao Yanga watamuuza.

Simba Sports Club haina mpango wa kumsajili Aziz Ki wala hawajapeleka ofa kwa Aziz Ki.

Najua pia Kaizer Chief wakifanya kikao kimoja na Miguel Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga SC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad