Ubalozi wa Marekani wasitisha wasitisha kupokea wageni kisa internet



Ubalozi wa Marekani wasitisha wasitisha kupokea wageni kisa internet

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho leo.

Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za usoni lakini kesho watapokelewa watakuwa ni Wageni watakaokuwa na dharura pekee.

“Kwa sababu ya hali ya sasa ya intaneti nchini, miadi yote ya kibalozi ya kesho (yaani leo Jumatatu May 13 2024) imeahirishwa, tutapanga upya katika tarehe inayofuata, kesho Ubalozi utakuwa wazi kwa huduma za dharura peke yake,” Ubalozi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad